Usajiri wa simba na yanga. html>epk

Jun 22, 2024 · Presha kubwa kwa mabosi wa Yanga ni mastaa wa timu hiyo ndio wanaoshinikiza vikali usajili wa Chama wakiongozwa na Stephanie Aziz KI na nahodha msaidizi beki Dickson Job na wengine wakiona kama Mzambia huyo ataongezeka watakuwa na mziki mzito. Andambwile amemwaga wino kwa kandarasi ya miaka miwili jangwani. 19 hours ago · BAADA ya kutokuwa na msimu mzuri wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kuwa imeondolewa katika mashindano ya Kombe la FA, Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji 'Mo' anatajwa ameahidi kukabidhi 'fungu nono' la fedha kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa usajili wachezaji wenye ubora watakaoisaidia timu hiyo kufanya vyema kwenye michuano mbalimbali msimu ujao, imefahamika. Ingawa habari za ndani zinadai kwamba kuna udalali mkubwa kati dili hilo na huenda likatibuka. 2024 9 Julai 2024. Jul 8, 2024 · Jioni hiyo Feisal akatambulishwa Yanga akifuatana na Jaffar Mohamed aliyesainiwa akitokea majimaji. Jun 9, 2024 · Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ndani ya Simba ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi klabuni hapo, Dk. Daudi Elibahati. 2 days ago · SERIKALI imezitaka klabu zitakazoiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa zikiwamo Yanga na Simba kufanya usajili mzuri, makini na wa kiufundi, ili kufanya vyema kwenye michuano hiyo. Okwi ambaye awali alikuwa Simba kabla ya kwenda kujaribu bahati Austria ambako alifeli na nafasi yake kuchukuliwa na Sadio Mane, akarudi Uganda kisha akajiunga na Yanga, Januari 2014. Soka 17 hours ago Jul 19, 2022 · DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Usajili wa Yanga, Simba na Azam msimu huu hakuna shaka klabu hizo kwa pamoja zimekwisha kutumia zaidi ya Sh bilioni moja katika kuwanasa nyota hao. Ni usajili ambao ulizua mshtuko na mashangao mkubwa kutoka kwa baadhi ya mashabiki, wengine walioona kama ni ndoto. "Ofa ambayo Yanga wamempa si rahisi kwa Aziz Ki aiache, halafu asaini klabu ya hapa nchini, anachelewa kusaini kwa sababu ya ofa za nje ya nchi alizonazo, hakuna klabu ya ndani ambayo anaweza kwenda huko na kuacha ofa ya Yanga Dec 6, 2023 · USAJILI wa dirisha dogo ni kama umezitega Simba na Yanga, kwani unazilazimisha kushinda michezo yao inayofuata ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. mwisho wa siku Simba itazilipa HIMARS JF-Expert Member Jan 25, 2024 · WAKATI wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa Simba na Yanga wakiwa wameshafunga hesabu zao katika dirisha dogo la usajili, miamba ya soka la Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns imeonyesha jeuri ya fedha kwa kutambulisha kiungo kiungo Matías Esquivel kutoka klabu ya Club Atlético Lanus ya Argentina mwenye thamani ya Sh6. 2 days ago · Kiliongeza pia taarifa za nyota huyo kutakiwa na timu moja ya hapa nchini si kweli na hizo ni propaganda za usajili. Mbali na Fei Toto, Simba pia inaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki katika harakati zao za kujiimarisha na kurudisha heshima ya klabu hiyo. Jun 19, 2024 · Ihefu ambayo itanolewa na aliyekuwa kocha wa wa Simba, Patrick Aussems ‘Uchebe’ imefikia kwenye hatua nzuri ya kumalizana na kiungo huyo mshambuliaji muda owote atatambulishwa. 2023. Jul 1, 2024 · Kiungo huyo msimu ulioisha ameifungia Simba mabao saba ya Ligi Kuu Bara huku akitupia mabao matatu Ligi ya Mabingwa Afrika kutua kwake Yanga anaenda kuungana na Pacome Zouzoua, Maxi Nzegeli na Stephane Aziz Ki ambaye uongozi unapambana kumbakiza baada ya mkataba wake kumalizika. "Tunasajili wachezaji wakubwa, maarufu kwenye maeneo ambayo tuna mapugufu, nilisema hatutasajili kwa mihemko, na tumethibitisha hilo, bado kuna wachezaji wapya ambao Dec 21, 2021 · UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwenye dirisha dogo la usajili watafanya usajili wa maana kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Dec 13, 2023 · Shughuli nzito Ngao ya Jamii 2024…Simba, Yanga zawekeana mitego KWA maandalizi ambayo yamefanywa na watani wa jadi. admin - December 6, 2022 KUHUSU ISHU YA BAJANA KUOMBWA JEZI NA AMBRABAT…. Jan 19, 2021 · Azam FC imefanikiwa kumrejesha mshambuliaji Yahya Zayd mwenye umri wa miaka 24 akitokea klabu ya Pharao FC kutoka nchini Misri. 2 days ago · WAKATI uongozi wa klabu ya Yanga ukijiandaa kumuongezea mkataba kiungo mshambuliaji wake Pacome Zouzoua, umetangaza kukamilisha na kufunga usajili wake msimu huu na sasa wanasubiri kuwatangaza rasmi wachezaji wote waliowasajili. Jul 23, 2021 · Simba imemaliza unyonge dhidi ya Yanga kwa mwaka huu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam uliochezwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Jan 18, 2024 · LABDA msilete timu. 1 day ago · WAKATI Yanga ikitangaza rasmi kumsajili Mzambia Clatous Chama, baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya zamani, kiungo mshambuliaji anayetajwa kuja kuchukua nafasi yake Simba, Jean Charles Ahoua, anatarajiwa kutua wiki hii nchini kukamilisha usajili. Jun 11, 2024 · Manula bado ana mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Simba huku Mshery akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika pale Yanga. Jun 30, 2024 · Kiungo mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coast alijiunga na timu hiyo Julai 19 mwaka jana akitokea Asec Mimosas ya nchini kwao na amebakisha mkataba wa mwaka mmoja, hivyo kuzivutia klabu mbalimbali za ndani na nje ya nchi jambo. Mwamnyeto lulu Simba . Aug 5, 2024 · Mara ya kwanza zinaanza kuchezwa mechi hizo, Yanga iliichapa Simba mabao 2-1, wafungaji wa Yanga ni Edibily Lunyamila na Ally Yusuph 'Tigana' huku la Simba likifungwa na Steven Mapunda 'Garincha'. Nov 12, 2020 · Msimu huu wa mwaka 2017/18 mbio zinaonekana kuwa mikononi mwa timu mbili za Simba na Yanga ambapo Simba walionekana kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuuchukua ubingwa wa msimu huo na kweli ilichukua. Pamoja na masuala mengine Yanga Jun 25, 2024 · ALIYEKUWA kocha wa Yanga Princess, Charles Haalubono anatarajia kujiunga na Zesco Ndola Girls ya nchini kwao Zambia. 345K subscribers. Yanga ilikuwa ya kwanza kumfuata kiungo huyo na sasa Simba imeingia kati dili hilo ikimtaka mchezaji huyo kwa ajili ya kujiimarisha kutokana na kushiriki pia mashindano ya kimataifa msimu ujao. Under Head Coach Nasreddine Nabi in the 2022/23 season Aug 6, 2019 · Maandalizi ya msimu ujao wa 2019/2020 kwa kiasi kikubwa yamekamilika kwa vigogo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba na Yanga ambao walitumia dirisha lililofungwa la usajili kuimarisha vikosi vyao. Gift Fred. Karibu 1. Yanga licha ya kwamba hawajaenda rasmi kwa wamemuongezea ulinzi huo, kwani hawataki abughudhiwe na wapinzani hususani Simba ambao wanamtaka kwa udi UCHAMBUZI USAJILI WA SIMBA na YANGA 2023 - 24, WILSON ORUMA AFUNGUKA HAYA. Inaelezwa kuwa kiungo wa klabu ya Yanga, Haruna Niyonzima ndiye mchezaji wa kigeni aliyecheza kwa muda mrefu zaidi nchini Tanzania. Basiala Agee anahitajiwa na Yanga 41 Jun 5, 2024 · Simba Queens ipo katika mazungumzo na beki wa kati wa Yanga Princess, Noela Luhala anayemeliza mkataba wake na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Jun 5, 2023 · Shabiki wa Simba Sports Club na Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Mei 18, 2028 alitoa pongezi kwa Yanga kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, baada ya timu hiyo Jan 15, 2024 · ZIMESALIA saa chache kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa rasmi saa 5:59 usiku na unaambiwa lolote linaweza kutokea ndani ya ya muda huo kwa Simba na Yanga wakati mabosi wa klabu hizo wakihaha kukamilisha dili za kushusha nyota wapya wa kuimarisha vikosi vya timu hizo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC Salim Abdallah Muhene maarufu kama Jun 25, 2024 · Kipa wa zamani wa Simba, Steven Nemes amesema uamuzi wanaoufanya Simba ni sahihi kwa sababu timu waliyokuwa nayo misimu miwili mfululizo imeshindwa kuthibitisha ukubwa wa chapa hiyo huku akitaja kwamba walikuwa na wachezaji wengi ambao hawana uwezo wa kuichezea Simba. Yanga, Usajili yanga 2022/23, is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Viongozi wa Simba wanatajwa kumhitaji beki wa kati ya Yanga, Bakari Mwamnyeto ili kuongeza nguvu ya ulinzi pale kati. Jan 15, 2024 · Muda uliobakia ni mchache tangu dirisha la usajili Tanzania Bara lifungwe huku kila timu zikitaka kulala bila deni ambapo Simba inasaka mrithi wa Chama na Sima ikitarajiwa kushusha mtambo wa mabao. Apr 22, 2011 · MO ana 49% pekee na madeni kibao ambayo anaidai Simba, na ndo maana hasiti kutoa pesa za usajili, anajua ndo analipa pesa zake hivyo. Gnagna Barry na Mousa Camara wa Horoya AC wanawindwa na Simba Sc 35. SOKA LA BONGO ni blogu namba moja ya habari za michezo nchini na nnje ya nchi, Kwa kupitia Blogu hii jihakikishie kuwa wa kwanza kupata matukio yote muhimu ya kimichezo . Jan 31, 2024 · Mamelodi ni moja ya timu zilizopo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kama ilivyo kwa Simba na Yanga, jana Alhamisi iliingia kwenye vichwa vya habari kufuatia kukamilisha usajili na kumtambulisha mchezaji huyo kutoka klabu ya Argentina ya Atletico Lanus. Jana kwenye mtandao wake wa instagram, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa ili nyumba ijengwe ni lazima kwanza ibomolewe. CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajicho Jun 22, 2023 · Kuna siku 10 tu zimebaki dirisha kubwa la usajili lifunguliwe na hapo ndipo mtaielewa Simba mpya ambayo viongozi wamesisitiza, hawatarudi kinyonge. Jun 23, 2024 · SAGA la usajili wa fundi wa aliyemaliza mkataba wake Simba, Clatous Chama limechukua sura mpya, baada ya bosi mmoja wa Zambia kuvujisha siri kiungo huyo tayari amesaini mkataba wa mwaka moja Yanga. Kocha Lwandamina ameuambia uongozi kuwa, katika dirisha dogo anataka mastraika mawili tu wa kuimaliza Simba. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwezo wa Hospital ya Muhimbili- Mloganzila, katika tukio la kuagana na mchezaji Rasmi Simba Watangaza Majina ya Wachezaji (8) Waliosajiliwa Msimu wa 2022/23 Usajili wa Kimataifa. Hawa Hapa Ndio Wachezaji Wapya WALIOSAJILIWA na Yanga Mpaka sasa,Usajili wa Yanga wanne waitikisa Congo,Tazama Uwezo wa Mshambuliaji Mpya Kazadi Kasengu toka 3 days ago · Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amesema msimu huu hawatafanya usajili wa wachezaji wengi bali wachache, lakini ni maarufu na wenye uzoefu mkubwa katika michuano ya kimataifa. Founded in 1935, the club Dec 15, 2022 · Dirisha dogo la usajili limefunguliwa leo Desemba 15, mabosi wa Simba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ pamoja na benchi la ufundi chini ya Kocha Juma Mgunda watafanya kikao kizito kuhusu hatma ya usajili, huku Cesar Manzoki akitarajiwa kutua nchini. Jul 2, 2024 · SIMBA Queens na Yanga Princess zimeingia kwenye vita ya kutaka saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal anayemaliza mkataba na klabu hiyo. Jan 16, 2024 · Usajili huo unaenda kuimarisha eneo la ushambuliaji la Yanga ikiwa ni matakwa ya kocha Miguel Gamondi baada ya kutokuwa na straika wa uhakika baada ya kutorishwa na kiwango cha waliokuwepo. Mwanaspoti limehakikishiwa na vigogo wa usajili wa Simba kwamba kufikia wikiendi ijayo kikosi kipya kitakuwa tayari na wiki hii zitatembea 'Thank You' za kutosha. Lengo sio kutaja Jun 28, 2013 · Kuna vitu vinaendelea kuhusu usajili ambao tff wameachia dirisha hilo kuanzia 1/07/2022 hadi 30/08/2022 ambapo tunashuhudia mambo kipindi hiki. Uongozi wa timu hiyo Jumanne iliyopita inatajwa kuwa ilimshusha rasmi nyota wa kimataifa wa Zambia, Joshua Mutale kwa ajili ya kukamilisha usajili wa kujiunga na timu hiyo ambapo inaelezwa anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu. Aidha, amesema wanashukuru wamemaliza salama mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu na walichokipata sio haba, hivyo wanaamini Kocha Mgunda na Jopo lake watakuwa na sababu za kutosha kupitia ripoti yao, ili kuushawishi Uongozi kufanya jambo katika usajili. Dec 7, 2023 · Tetesi za usajili yanga 2023/2024, Usajili yanga 2023/24, Yanga Transfer Rumors, Tetesi za Usajili Yanga leo. Seif Muba, amesema: “Tumeiambia ofisi ya CEO ya Simba itengeneze sera ya usajili ambayo itatumika kusajili wachezaji na kuwaondoa, sera hii itakuwa maalum ambayo tutaitumia wote. Latest; Featured posts; KIZUMBI ‘IN’ YANGA …KUPISHANA NA MUSONDA ANAYEENDA TP Oct 29, 2023 · Agosti 2014, mtendaji mmoja wa juu kwenye soka, alivujisha taarifa ya usajili wa Emmanuel Okwi aliyekuwa Yanga. Apr 30, 2024 · Pia, Aprili 14, 2024, TFF ilitoa taarifa ya kufungiwa usajili klabu hiyo baada ya kukiuka Annexe ya 3 ya kanuni ya uhamisho wa wachezaji RSTP ya FIFA pamoja na kutokuingiza uthibitisho wa malipo ya uhamisho wa mchezaji (ambaye hakutajwa jina) katika usajili (TMS) licha ya kukumbushwa kufanya hivyo. Nipashe ilipowasiliana na Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, kupata ufafanuzi kuhusiana na adhabu hiyo, kiongozi huyo hakupatikana. Jun 30, 2024 · WAKATI mabosi wa Yanga wakiendelea na mchakato wa kuboresha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi amechekelea na kutoa neno kwa mambo yanavyokwenda klabuni hadi sasa katika ishu za usajili mpya. Wino ulimwagwa chini ya Hussein Nyika, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga kwa wakati huo na Fei Toto akawa Mwananchi kwa mkataba wa miaka mitatu. Jul 8, 2024 · Dar es Salaam, Baada ya mawindo ya muda mrefu, Yanga imefanikiwa kupata saini ya kiungo Mzambia Clatous Chama kutoka Simba na tayari imemtambulisha. 1 day ago · Kwa mujibu wa mtoa taarifa huyo, wachezaji hao ni winga hatari wa Petro de Luanda ya Angola, Deivi Miguel Vieira maarufu kama, Gilbetro, Cheick Diakite wa Real Bamako ya Mali, ambaye wakati mwingine hucheza kama straika na winga ya kushoto. Usajili SimbaUsajili Simba Dirisha DogoWaliosajiliwa Simba Dirisha DogoWaliotemwa Simba Dirisha DogoWanaotemwa Simba Dirisha Dogo#SimbaSc #MoDewji #Simba #Az Jun 6, 2024 · Simba wanapambana kunasa saini ya staa huyo wa Burundi ambaye ametupia mabao manne kwenye Ligi Kuu Bara iliyotamatika Mai 29 akiwa na Namungo na aliliambia gazeti hili anampango wa kuondoka msimu ukiisha. 54K views 2 years ago #simbasc #yangasc #ahmedally. Jul 8, 2021 · KOCHA wa Yanga, Nabi Nasreddine amesema usajili mpya wa timu hiyo utakuwa na utofauti mkubwa na uliozoeleka na hatapokea mchezaji yoyote wa kuletewa na kiongozi bila kujadiliwa kwa kina. Nov 11, 2023 · Usajili yanga 2023/24, Wachezaji wapya yanga 2023/2024, wachezaji wapya wa yanga 2023. Beki huyo ambaye Simba ilimkosa miaka kadhaa iliyopita alipokuwa Coastal Union na kutua Yanga, bado yupo vichwani kwa mabosi, wakiamini atawasaidia, huku mkataba wake wa timu yake ya sasa ukitamatika. Jan 17, 2024 · Usajili wa Simba umefanyika baada ya kuondolewa kwa washambuliaji wawili Moses Phiri ambaye amefunga mabao matatu na Jean Baleke mwenye nane msimu huu, huku Yanga ikiachana na Hafiz Konkon aliyefunga bao moja tu kwenye mechi 11 ilizocheza timu hiyo, pamoja na Jesus Moloko. Mbali na klabu hizo, pia Azam FC na Coastal Union nao watashiriki michuano hiyo ya kimataifa ambapo Yanga na Azam zitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba Jun 26, 2024 · Yanga ilikumbana na rungu la kufungiwa na FIFA ikikabiliwa na kesi mbili, baada ya kufanya makosa ya kwenye mfumo wa usajili kwa kushindwa kukamilisha taarifa muhimu za mmoja wa wachezaji wake wa zamani kabla ya kuweka sawa na kuondolewa adhabu hiyo. Jul 20, 2024 · Pamoja na yote, wakati Yanga wakiwa na fikra kubwa, mashabiki wa Simba hawajui cha kuwaza. 1 day ago · Wanachama na mashabiki wa Simba subirini, msiwe na mashaka tutafahamu mbivu na mbichi," alisema. 5. hii hapa rekodi nyingine ya kibabe yanga waliyoiweka kwa kuifunga simba juzi… admin - August 18, 2022 BAADA YA KUFANYA KAZI NZURI TOKA KUANZA KWA MSIMU…CHAMA AKABIDHIWA UFALME SIMBA…MASHABIKI WAMPITISHA…. Uongozi wa Simba SC umesema utafanya usajili wa kishindo kwa ajili ya msimu ujao 2024-2025 kwa kusajili wachezaji wenye hadhi na uwezo mkubwa ili kutimiza malengo yao ya kurejesha mataji ndani ya viunga vya Msimbazi Jijini Dar es Salaam. TAARIFA kutoka ndani ya Azam FC, zinaeleza kiungo wa kati, Adolf Mtesigwa ameongezewa mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia klabu hiyo, yenye makao yake makuu 5 days ago · ZILE tetesi za usajili za Klabu ya Simba kupata saini za baadhi ya wachezaji akiwamo Elie Mpanzu kutoka Klabu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na Yusuph Kagoma wa Singida Black Stars, zinaelekea kukamilika baada ya Meneja Habari na Mawasiliano wa miamba hiyo, Ahmed Ally, kugusia usajili wao, huku akitangaza rasmi kuwa winga wa klabu hiyo aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu, Aubin Jan 15, 2024 · Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Cryspin Ngushi Kwa Mkopo wa miezi 6 kutoka Yanga SC. 12. 1 day ago · Hilo limefanya usajili wa Yanga nao kuwa wa kushtua, na hasa ilipomsajili Clatous Chama kutoka Simba. Aug 7, 2024 · Kwa maandalizi ambayo yamefanywa na watani wa jadi. Straika huyo amemaliza Ligi Kuu ya Zambia akiwa na mabao 10 na kuwa kinara wa ufungaji, akifungana na wachezaji wengine wawili waliofunga idadi kama hiyo ya mabao, Enock Sakala wa Zesco United na Prince Mumba wa Kabwe Warriors. OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefunguka kwamba, kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, mwaka huu, watatikisa nchi kwa usajili mkubwa watakaofanya. Saidio Kanout, Putin ataondoka Simba Sc 37. Jun 19, 2024 · SIMBA Queens imeweka mzigo mzito kuwapata viungo wawili wa Yanga Princess, Precious Christopher na Saiki Atinuke ambao mikataba yao iko ukingoni. Jun 2, 2021 · Kuelekea dirisha la usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu wa 2021/22, klabu za Simba SC Young Africans na Azam FC zimeshauriwa kufuata utaratibu mzuri ili Apr 16, 2023 · KARIAKOO DERBY: Magoli mawili kutoka kwa Hennock Inonga na Kibu Denis yameipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga katika #KariakooDerby iliyopigwa kwe kama ulikuwa hujui…. Jan 8, 2023 · Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe. "Msishtuke kuona nyumba yenu inabomolewa ili ijengwe mpya, imara na nzuri zaidi," aliandika Ahmed. Jul 9, 2024 · KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Aziz Andambwile kutoka Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka miwili. 2 bilioni. Kwa sasa kocha huyo raia wa Zambia yupo nchini humo baada ya kutemwa na Yanga Princess mara baada ya msimu kumalizika huku timu hiyo ikimaliza nafasi ya tatu Ligi Kuu ya Wanawake. Tayari mabosi wa Yanga wameanza mazungumzo ili kumaliza utata. Hawana uhakika kama wataweza kuwa na timu ya kurejesha taji la Ligi Kuu katika himaya yao. Klabu ya Yanga nchini Tanzania imekamilisha usajili wa kiungo Aziz Andambwile akitokea Singida Fountain Gates. Jan 5, 2024 · Mapema wiki hii Mwanaspoti liliwataarifu juu ya mabosi wa klabu ya Yanga kumtumia mkataba winga huyo baada ya kumalizana na tajiri wa Maneama, Amissi Kumba ikiwa ni pendekezo la kocha Miguel Gamondi anayepambana kuivusha Yanga kwa mara ya kwanza kuingia robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika tangu ilipobadilishwa mfumo mwaka 1997. Rasmi Yanga Leo Imetangaza Orodha Ya Wachezaji 5 Walioachwa Usajili Yanga Dirisha Dogo 2023 na 2024#yanga #yangasc #yangaleo #yangatv Apr 15, 2024 · Tetesi za Usajili Yanga SC Msimu Mpya 2024/2025 Yanga SC are at the top with 55 points from 21 matches NBC Premier League 2023/2024 Season. Ousmane Drame wa Horoya AC anawindwa na Simba Sc 36. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Jun 3, 2024 · 11. Aug 1, 2023 · Mkude has joined Yanga Club as a free agent, following the expiration of his contract with Simba SC. Utambulisho wa washambuliaji wapya ndani ya Simba, Steven Mukwala raia wa Uganda na Joshua Mutale raia wa Zambia wenye umri chini ya miaka 25, umebeba taswira ya safari mpya ambayo Wekundu hao wa Msimbazi wanaianza msimu ujao bila ya kuwa na baadhi ya wachezaji waandamizi ambao wameonyeshewa mlango wa kutokea. Mara ya mwisho mwaka jana Simba iliifunga Yanga 3-1 kwa penalti baada ya dakika tisini matokeo kuwa 0-0. Mabululu anatakiwa Simba SC 38. Jun 24, 2024 · Taarifa zinasema Simba imeanzisha mazungumzo na straika Ricky Banda anayekipiga katika Klabu ya Red Arrows ya Zambia. Simba ilikuwa inatarajiwa kufanya usajili mkubwa kwenye dirisha hili dogo, lakini taarifa zinasema kuwa kocha mkuu wa timu hiyo anataka wachezaji wawili tu kutoka nje ya nchi. Jun 21, 2024 · Mwanaspoti awali liliripoti kuwa beki huyo wa kati alikubaliana na Simba kusaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh 205 Milioni japo jana Simba ilitangaza kumpa miaka mitatu akiwa mchezaji wa kwanza kutangazwa tangu dirisha la usajili lifunguliwe Juni 15. Jun 11, 2024 · Kauli hiyo ya Aziz Ki inaweza kuwa njema zaidi kwa Wanayanga ambao kwa muda mrefu wamekuwa na sintofahamu baada ya kuwepo kwa taarifa za kiungo huyo kuwa njiani kuondoka kutokana na mkataba wake kumalizika, huku furaha zaidi ikiwa ni baada ya kupata uhakika wa kiasi fulani juu ya uhamisho wa Dube ambaye pia anawaniwa na Simba. Jul 1, 2024 · Ni wazi Simba na Yanga ni watani wa jadi ndani na nje ya uwanja na kinachochochea utani huo zaidi ni pale wanapokutana kwenye mechi 'derby'. “Tumemaliza Mzunguko wa Kwanza wa Ligi Kuu, tunamshukuru Mungu kwa tulichokipata, Dirisha Dogo Jun 22, 2023 · Simba tayari imempa mkataba Mcameroon Leandre Onana anayecheza nafasi ya kiungo huku wengine watano wakiwa kwenye mazungumzo na viongozi wa juu pamoja na Robertinho. Africa Jul 6, 2023 · Gibril Sillah anavyomtumia Pacome wa Yanga! WINGA wa Azam FC, Gibril Sillah, amebainisha kwamba amekuwa akimtumia kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua kama sehemu ya kuimarisha kiwango kutokana na kufurahishwa na namna anavyocheza mwenzake. Klabu ya Mashujaa FC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Abraham Mussa. Wengine ni winga wa kulia wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Phillippe Kinzumbi, Abubeker Jul 2, 2024 · “Nimeshtuka sana kusikia huu usajili wa Chama, nilidhani kwamba anaweza kubaki Simba kama ilivyokuwa nyuma, nadhani Yanga inakwenda kuwa na timu bora zaidi, hii siyo nzuri kwa timu pinzani,” alisema Nabi ambaye anaondoka FAR Rabat na kwenda kujiunga na miamba ya Afrika Kusini Kaizer Chiefs. Yanga Leo Imetangaza Majina Ya Usajili Uliokamilika Kwa Asilimia 100% Usajili Yanga 2023 Na 2024#yanga #yangasc #yangaleo #yangatv Jul 5, 2023 · Mchana kiungo huyo alikutana na vigogo wa Simba katika ofisi ya kiongozi mmoja wa timu hiyo iliyopo katikati ya jiji, mazungumzo ambao hadi gazeti hili linakwenda mtamboni, inaripotiwa yalikuwa yamefikia mahali pazuri tayari kwa kiungo huyo kuonekana katika jezi ya Simba msimu ujao. USAJILI YANGA: MAJEMBE MAPYA KUTUA JULAI 10, KUMBE CORONA NDIYO ILIWACHELEWESHAKatika kipindi hiki ambacho timu zinajiimarisha katika kuelekea msimu mpya wa Jul 8, 2021 · “Nimekutana na uongozi tayari nimewaeleza chini yangu miongoni mwa mbinu ninayoitumia kupata wachezaji bora, sitaki kuona mchezaji ameletwa na kiongozi mmoja au mtu yeyote yule baada ya hapo anasajiliwa,” alisema Nabi ambaye kwenye mechi dhidi ya Simba wikiendi iliyopita alitumia fomesheni ya 4-2-3-1. Usajili wa Simba; Usajili wa Yanga; video; Y; YAN; yanga; Yanga SC; Latest . Ndivyo ambavyo mashabiki wa Simba na Yanga wanavyotambiana huko mtaani kufuatia usajili ambao umefanywa na miamba hiyo ya soka la Tanzania katika dirisha dogo la usajili ambalo lilifungwa usiku wa Jumatatu ya Januari 15. Ilikuwa ndoto ya Wanajangwani kumpata staa huyo na sasa imetimia huku kibano kikigeukia kwa Simba na nyota wa Azam, Feisal Salum maarufu Fei Toto. Jun 14, 2024 · UONGOZI wa Simba unafuatilia kwa ukaribu huduma ya beki wa kushoto wa KMC, Rahim Shomary ili kuongeza nguvu katika timu hiyo. Young Africans kicked out of the CAF Champions League by Mamelodi Sundowns (South Africa). The registration window has officially opened and teams are venturing into the market to capture the signatures of players who will inject life into their teams and raise the fighting spirit in the NBC Premier League. Jul 11, 2024 · Mgunda aliiwezesha Simba kumaliza katika nafasi ya tatu ndani ya Ligi Kuu Bara iliyoisha nyuma ya Yanga na Azam akiiongoza katika mechi tisa akishinda saba na sare mbili akimpokea Abdelhak Benchikha aliyetimka kutokana na sababu za kifamilia siku chache baada ya Simba kuchapwa mabao 2-1 na Yanga katika Dabi ya Kariakoo. Katika nafasi hizo ni kiungo mshambuliaji ambaye anatajwa Abdoulaye Djire kutoka klabu ya Racing De Abidjan ya Ivory Coast, kiungo mkabaji na mshambuli baada ya Kennedy Musonda, Clement Mzize na Hafiz Konkoni kushindwa kuziba Dec 10, 2021 · Hisia za mashabiki wa soka Tanzania zitaelekezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambako kutachezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kuanzia saa 11 jioni ikiwa ni ya mzunguko Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amewatoa hofu wapenzi na wanachama wa klabu hiyo kuwa michakato ya usajili inaendelea na wako katika hatua za mwisho kukamilika Baada ya kutoa Thank You kwa wachezaji watano pamoja na kutangaza usajili wa beki Lameck Lawi, ukimya umetawala Msimbazi jambo lililowapa hofu baadhi ya kombe la dunia qatar 2022 na mguso wa kipekee kwa watanzania…. Lameck Lawi anatakiwa Simba SC 38. Yanga: Mchezaji Dickson Ambundo (25) wa Dodoma Jiji muda wowote kutangazwa kujiunga na Young Africans Sports Club. 07. Klabu ya Tabora United ya Tanga imekamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Simba Sc, Ruvu Shooting na Geita Gold, Miraji Athumani “Sheva”. Akizungumza na Championi Jumatatu,Mwenyekiti wa Simba, Jul 15, 2023 · KUMBE mashabiki wa Yanga wanaufuatilia kwa karibu usajili wa wapinzani wao wakubwa kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba na Azam na kuwapa tano kwa majembe waliyoyashusha, huku wakiwatisha kwamba bado hawajafua dafu kwa kilichofanywa na Yanga kwani nyota anayesubiriwa kwa hamu kubwa ‘namba 6’ amezua hofu kwa majirani. Kwa mujibu wa taarifa Benchikha amekabidhi ripoti ya usajili baada ya kukaa wiki moja na nusu na kikosi hicho tangu akabidhiwe timu hiyo. Jun 9, 2022 · Moryale Sylla(Guinea) wa Horoya yeye bado dili lake linaendelea kama tulivyokujuza kwenye toleo la jana. Ni jambo zuri kuona klabu zetu zimeamua kuvunja benki na kununua wachezaji bora kwa lengo la kuimarisha timu kwa ajili ya msimu mpya wa Jul 9, 2024 · 09. May 20, 2024 · IMEELEZWA uongozi wa klabu ya Simba umetenga fedha za kutosha kwa ajili ya kufanikisha usajili wa kiungo wa klabu ya Azam FC, Feisal Salum 'Fei toto' ili ajiunge na timu hiyo. Jun 11, 2024 · MKURUGENZI Mtendaji wa Hospita ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24. Taarifa hiyo imeeleza kuwa uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya timu hiyo kukiuka Annexe 3 ya kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji, (RSTP) ya Shirikisho hilo. Simba inahitaji beki huyo kwa makubaliano maalumu ya kumuazima kwa ajili ya kuwasaidia kwenye michuano ya kimataifa ambayo kama Simba itachukua ubingwa wa Ligi Kuu ya wanawake awasaidie eneo la ulinzi. Jan 12, 2024 · Picha za Wachezaji Wapya wa Yanga SC 2024: Usajili wa Yanga 2023-24, Tetesi za Usajili wa wahezaji Yanga SC 2023-2024. Baada ya kupata viongozi wapya, Yanga imeonekana kuwa na nguvu kifedha kwa kuwasajili wachezaji 14 wapya ambao ni Patrick Sibomana, Issa Bigirimana Jan 5, 2024 · Kwa upande wa tatu bora ya timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kutokana na kasi yao, yaani Azam, Yanga na Simba, tayari kila timu imeonesha makucha kwa kutangaza majembe mapya kwenye dirisha hili dogo lililofungwa Desemba 16, 2023 ambapo upande huu ukiweka kigingi, mwingine anaweka chuma. Jan 5, 2024 · Usiku wa kuamkia mwaka huu wa 2024, Yanga wakaibuka tena na kumtangaza nyota wa zamani wa Simba, Augustine Okrah tukio lililofanyika kwenye mchezo dhidi ya JKU. Kiungo huyo amejiunga na Yanga kuongeza nguvu eneo la kiungo cha 3 days ago · Lakini pia TFF haijafafanua adhabu ya kufungiwa Yanga itakuwa ya muda gani, kama usajili wa dirisha kubwa pekee, au mpaka pale itakapotimiza yaliyoagizwa na FIFA hata kabla ya dirisha la usajili kukamilika. Shomary mwenye miaka 19, ndiye mchezaji mdogo zaidi katika Ligi Kuu Bara msimu uliopita aliyechangia mabao mengi akiwa na sita, akifunga moja na kuasisti matano, hivyo kuwafanya mabosi wa Simba kumuwania. Jun 12, 2024 · Simba ambayo imepanga kujiimarisha zaidi kuelekea msimu ujao, inaamini kwamba beki huyo anayecheza kikosi cha Burkina Faso sambamba na kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki, anaweza kuwa mtu sahihi kwao. Ingawa sio Chama wala Yanga waliothibitisha juu ya dili hili, lakini taarifa za ndani kutoka Yanga ni kiungo huyo atakuwa mali ya kikosi hicho kwa 5 days ago · WAKATI dirisha la usajili wa wachezaji limefunguliwa rasmi leo, uongozi wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga unasisitiza nyota wake, Stephano Aziz Ki na kipa chaguo la kwanza, Djigui Diarra, wataendelea kubakia katika kikosi chao, imeelezwa. Mashabiki wa Simba walifurahia kikosi chao kipya kwenye Simba Day chini kocha,Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini kutokana na kandanda 2 days ago · "Mkataba wa Klabu ya Simba na Chama unamalizika ifikapo Juni 30, na baada ya hapo anakuwa huru, ameshazungumza na Yanga, pande zote mbili zimekubaliana wanasubiri mkataba wake uishe ndiyo atie wino, ameshakubaliana nao ada ya usajili na mshahara na posho nyingine muhimu, kinachosubiriwa ni muda tu," kilisema chanzo chetu. Mwanaspoti linajua Simba kwasasa imeweka pembeni kamati yake ya usajili na Barbara Gonzalez ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ ndio wanaosimamia mchakato huo wa usajili wa Simba mpya. Simba ambao wanakamatia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, nao baada ya kuwa kimya muda mrefu, jana Jumatatu wakafungua pazia la utambulisho wa dirisha dogo kwa kumtangaza Jan 16, 2024 · Usajili huo unafanya kusababisha mabadiliko kadhaa katika kikosi cha Simba ambapo wapo wachezaji wanaweza kuwa na uhakika wa nafasi katika kikosi cha kwanza, wengine wanaonekana kuwa katika uwezekano mkubwa wa kuwa mpango mbadala wa benchi la ufundi la Simba chini ya Abdelhak Benchikha lakini kuna ambao nafasi zao zinaweza kuwekwa rehani ama iwe katika kikosi cha kwanza au benchi. Mwaka huu bado mambo magumu sana haijulikani timu ipi itavuna na ipi itaambulia mabua, Yanga , Simba na Azam FC ndizo zinazonekana kuwa karibu na Jul 2, 2024 · Dar es Salaam. Jun 27, 2024 · Mwamnyeto tangu atue Yanga Agosti 2020, kikosi hicho kimebeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara tatu mfululizo kama ilivyo kwa Kombe la Shirikisho (FA), mbali na Ngao ya Jamii mara mbili na kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu wa 2022-2023, huku msimu uliopita wakitinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza baada ya kupita takribani miaka 25. Dec 28, 2023 · KOCHA wa Simba, Abdehack Benchikha amebadili gia ya usajili kwenye timu hiyo na sasa amesema anataka kupata wachezaji bora wazawa na wawili tu wa kigeni. Kibwe Online Tv. . 1 day ago · 11. Jun 3, 2024 · Uongozi wa Simba unaamini kiungo huyo wanaweza kumpata kwa gharama ndogo kwa sababu ni mchezaji ambaye yupo huru sokoni na wanamuona ataleta tija kikosini humo baada ya kutokuwa na matumaini na Msenegali, Babacar Sarr. Tetesi za usajili vpl 2021/22 zimeandikwa na Hamza Fumo Instagram @fumo255 Apr 12, 2024 · SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limetoa taarifa kuwa Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, (FIFA). May 7, 2021 · Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu Aug 6, 2023 · Tetesi Za Usajili Yanga Sc 2023/2024 Transfer Rumors; Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Kambini 2023; Tetesi Za Usajili Simba Sc 2023/2024 Transfer Rumors; Ratiba Ya Taifa Stars Kufuzu Afcon 2023; Tuzo Za TFF 2022/2023 | Tuzo Za Shirikisho La Mpira Wa Miguu Tanzania; Kocha Wa Yanga Nasreddine Nabi Apewa Ofa Na Kaizer Chief Aug 3, 2023 · Jambo lingine ambalo limeonekana kuwa la mfanano kwa timu hizo ni zote zimesajili mchezaji anayecheza beki wa kati ambapo Simba wameshusha Che Malone na Yanga wamemsajili Fred, huku Azam wao kama hawatamtumia Bangala kwenye eneo la kiungo wanaweza kumtumia kama beki wa kati, lakini wakiwa wamemsajili Sidibe pia kwenye eneo hilo. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa mkopo 3. Jan 14, 2022 · Yanga hadi sasa wamesajili wachezaji wanne dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufungwa kesho wachezaji walio sajiliwa ni Salum Abubakari, Denis Nkane, Abutwali Mshery na Chrispin Ngushi. Usajili SimbaUsajili Simba Dirisha DogoWaliosajiliwa Simba Dirisha DogoWaliotemwa Simba Dirisha DogoWanaotemwa Simba Dirisha Dogo#SimbaSc #MoDewji #Simba #Az Jun 24, 2024 · Taarifa zinasema Simba imeanzisha mazungumzo na straika Ricky Banda anayekipiga katika Klabu ya Red Arrows ya Zambia. Simba ikatoka patupu. Usajili wa dirisha dogo ulifunguliwa Desemba 16, 2022 na unatarajiwa kufungwa Januari 15, 2023, huku Yanga ikiwa tayari imemsajili kiungo Jan 16, 2024 · Msimu huu hadi anaachana na Yanga hakuwa na bao isipokuwa asisti mbili, kacheza dakika 334 na mechi sita za Ligi Kuu, usajili wake ulikuwa mkubwa, ingawa msimu wake wa kwanza hakuanza vizuri, isipokuwa ulioisha alikuwa kwenye kiwango cha juu. Wakati mjadala mkubwa ukiendelea, ikamtambulisha Prince Dube kutoka Azam FC, na usajili huo kuendelea kuwa gumzo. Mwanaspoti linajua Nabi tayari ameshapitisha usajili wa beki David Brayson wa KMC, Dickson Ambudo ambaye ni winga wa Dodoma Jiji na beki wa AS Vita, Djuma Mar 9, 2021 · Yanga na Simba zilianzishwa mwaka 1935 na 1936 baada ya kutokea mvurugano baina ya viongozi wa pande hizo mbili. 2 days ago · Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, mabingwa wa soka Tanzania, Yanga wenyewe wataumana na Mabingwa wa Burundi, Vital'O Club huku Azam FC ikipangwa kucheza na APR ya Rwanda ambapo Yanga wataanzia ugenini huku Azam wakianzia nyumbani kati ya Agosti 16 na 18. Chadrack Boka ni mwananchi 40. Timu ya Yanga Afrika ilichagizwa na uchaguzi, ambapo kipindi ya kampeni kuelekea uchaguzi huo wagombea waliaidi mambo mengi kwa maendeleo ya klabu Dec 16, 2022 · BAADA ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa leo Disemba 16, 2022 ikiwa ni kwa muda wa siku 30 mpaka pale Januari 15, 2023, hatimaye sasa uongozi wa Simba umevunja ukimya kuhusu tetesi za usajili Simba kwa wachezaji wanaohusishwa na timu hiyo. Mfano msimu uliopita katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara Simba ilifungwa 5-1, na mchezo wa marudiano ikachapwa tena 2-1 jambo lililoipa Yanga nafasi ya kutamba na kuwatania zaidi watani wao hao kwani Nov 8, 2017 · Yanga iliyolazimishwa sare mbili mfululizo katika mechi zao zilizopita ikiwa ile na watani zao Simba walifungana nao bao 1-1 kabla ya Singida United kuibana na kutoka nao suluhu, imeachwa pointi mbili na Simba katika msimamo wa ligi. Thank you for reading Nation. Inadaiwa Zayd amejiunga na Wanarambaramba hao kwa kandarasi ya miezi sita na nusu. Wapo baadhi ya wachezaji wanaohusishwa kujiunga na Simba katika dirisha hili dogo, baadhi ni beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi na kiungo wa Mtibwa Sugar, Ladack Chasambi. Ni siku ambazo Simba wanazitumia kikamilifu na sapraizi ni kwamba wameshafikia asilimia 70 kwenye usajili mpya huku wakifanya siri kubwa. UKWELI WENYEWE HUU HAPA…. Frolent Ibenge anaweza kujiunga SC 39. Aug 3, 2023 · Jambo lingine ambalo limeonekana kuwa la mfanano kwa timu hizo ni zote zimesajili mchezaji anayecheza beki wa kati ambapo Simba wameshusha Che Malone na Yanga wamemsajili Fred, huku Azam wao kama hawatamtumia Bangala kwenye eneo la kiungo wanaweza kumtumia kama beki wa kati, lakini wakiwa wamemsajili Sidibe pia kwenye eneo hilo. Inaelezwa Simba imeweka kiasi cha Sh 10 milioni kama pesa ya usajili kwa wote wawili na mshahara wa Sh 700,000 kwa mwezi. Aug 18, 2024 · #nguvumoja welcome to simba sports club latest: hatuzuiliki hatushikiki #nguvumoja 2024/25 this is simba * nguvu moja * news news more news >> player of month - september 2023/24 player of the month emirate aluminium player of the month vote fixtures upcoming matches Jun 20, 2023 · Huyu ni kati ya wachezaji wachache wa ukanda huu ambao wanalipwa kiwango kikubwa cha mshahara na usajili wake ni ghali, hivyo Yanga wanamtaka kwa mkopo wa msimu mmoja na inaonekana watampata kutokana na changamoto ambayo ipo nchini Sudan kwa sasa ambayo imechangia ligi kusimama. Soka 20 hours ago Jun 28, 2017 · Ukimya Wa Simba Wampa HofuBEKI wa kulia wa Simba raia wa DR Congo, Janvier Bokungu, amepoteza matumaini ya kuendelea kuitumikia timu hiyo msimu ujao katika michuano ya Ligi Kuu Bara pamoja na ile ya kimataifa kutokana na ukimya wa mabosi wake. Jul 15, 2023 · Tetesi Za Usajili Simba Sc 2023/2024 Transfer Rumors; Wachezaji Waliosajiliwa Simba 2023/2024; Jezi Mpya Za Yanga na Bei Yake 2023/2024; Jezi Mpya Za Simba 2023/2024; Msimamo Ligi kuu England 2023/2024 EPL Standing; Tetesi Za Usajili Yanga Sc 2023/2024 Transfer Rumors; Msimamo Ligi Kuu Hispania Laliga 2023/2024 Jan 16, 2024 · Awali usajili huo ulikaribia kuingia mwiba baada ya watani wao Yanga kugundua kwamba pande hizo mbili kati ya Simba na Prisons bado hawajamalizana masuala ya fedha hali ambayo iliweka njia panda ukamilifu wa dili hilo. Jan 13, 2024 · Yanga inapiga hesabu nzito za kufunga usajili na mshambuliaji ambaye ndiye mtu muhimu anayehitajika na kocha wao Miguel Gamondi. He had been a part of Simba SC for a remarkable 13 years, having joined the team in 2010. Yanga ndio timu kongwe zaidi Tanzania ilianza 1935 wakati Simba ikitokea ubavuni mwa Yanga baada ya mvurugano huo na kuunda timu nyingine inayoitwa Sunderland. The leadership of Yanga has made it clear that there is an upheaval on the issue of registration due to the careful plans they have. Yanga inaendelea na msako wa mshambuliaji gani wamchukue ndani ya Oct 29, 2023 · Agosti 2014, mtendaji mmoja wa juu kwenye soka, alivujisha taarifa ya usajili wa Emmanuel Okwi aliyekuwa Yanga. Yanga Club has made an exciting addition to their squad with the signing of central defender Gift Fred on Usajili Yanga 2023/24. May 11, 2023 · Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Sal Jun 30, 2024 · BAADHI YA MASTAA AMBAO WAMEMALIZANA NA SIMBA NI; Lameck Lawi na Joshua Mutale. Nov 17, 2023 · KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amependekeza nafasi tatu kuweza kuboresha kipindi cha usajili wa dirisha dogo ambalo linatarajiwa kufunguliwa Desemba mwaka huu. Nov 11, 2023 · Kocha huyo Mtunisia alijiunga na Simba Januari 19 kwa mkataba wa miaka miwili, lakini kama ilivyokuwa kwa Robertinho na kocha wa viungo Corneille Hategekimana naye amefyekwa kutokana na kuipigo cha mabao 5-1 ilichopewa na Simba kwenye Kariakoo Derby. Jun 14, 2024 · Mbali na Kagoma, Yanga pia ilitajwa kuwa kwenye mikakati ya kumsajili kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa Bitegeko ambaye mkataba wake kikosini hapo umebaki miezi sita, lakini kuna ugumu wanaweza kukutana nao kutokana na wamiliki wa mchezaji huyo kuwa tayari kumuongezea mkataba baada ya kazi nzuri aliyoifanya katika msimu wake wa kwanza klabuni hapo. Dirisha dogo la usajili limefunguliwa Desemba 16 na linatarajiwa kufungwa Januari 15,2022 ambapo kwa sasa timu zimeanza harakati za usajili. Jun 22, 2024 · Inaelezwa kwamba watu wa karibu na Yanga wamemhifadhi mchezaji huyo jijini Dar es Salaam na wameshampa ofa ya miaka miwili, wamemnunulia thamani za ndani za Sh 30 Milioni na ulinzi mkali wa saa 24. Aug 2, 2021 · Yanga: Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa UD Songo kutoka Msumbiji, Jimmy Julio Ukonde (24) ametua Nchini kukamilisha usajili Jangwani. Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti, baadhi ya klabu zililazimika kutumia dakika za mwisho kabla ya dirisha kufungwa kukamilisha usajili wa wachezaji zilizowataka, lakini sehemu kubwa ya timu zilikamilisha mapema hususani vigogo Simba na Yanga. Dec 4, 2023 · Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15. Simba na Yanga kwa mara ya kwanza zipo kwenye May 18, 2024 · 34. Simba na Yanga zitakutana kesho kufungua pazia la msimu ujao wa Ligi Kuu Bara 2024/25. Kazi ipo kesho Kwa Mkapa. Wamesajili wachezaji 13 wapya mpaka sasa. eac gjygct cwycsy clp epk vftz dicyvv grokj tyafb aco